Wednesday, December 30, 2015

News: Fataki Na Risasi za moto Marufuku Usiku wa Mwaka Mpya

Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaa limepiga marufuku upigaji wa fataki na risasi za moto usiku wa mwaka mpya na kuonya watu kutochoma matairi barabarani kwani sio sehemu ya sherehe za kukaribisha mwaka na kuonya wakazi kuchukua tahadhari nakutoa taarifa wanapoona dalili za uhalifu.

Chanzo ITV