Monday, February 1, 2016

Takribani Watu 65 Waefariki Dunia Baada ya Kuvamiwa na Kundi la Kiislaam Boko Haramu

Takribani watu 65 waefariki dunia siku ya Jumapili baada ya kuvamiwa na kundi la kiislaam Boko Haramu karibu na Kaskazini Mashariki mwa mji wa Maiduguri nhini Nigeria. Yamesemwa hayo na chanzo chetu baada ya kuhesabu miili ya marehemu kwenye hospitali ya Morgue.

Msemaji wa jeshi la polisi nchini Nigeria, Coonel Mustaph Ankas amesema kuwa Jeshi la kundi la Boko haram lilivamia watu wa Dalori, umbali wa Km 5 Mashariki mwa mji wa Maiduguri, siku ya Jumapili Jioni.

Chanzo:Citizen TV