
Wanaume watatu ambao aliwaua, alifanya hivyo alipokodiwa kama mamluki.
Das Gracas alisema: " Ningesubiri kupata fursa tu kisha ningeingia
ndani ya nyumba na kutekeleza mauaji,'' akiongeza kwamba angewachunguza
waathiriwa wake kwa muda kabla ya kuwaua.
Wataalamu wanasema Das Gracas anaonekana kuwa mgonjwa wa kiakili ambaye
alipenda sana kuonekana kwneye vyombo vya habari, na kuonya kuwa polisi wawe
waangalifu sana kuhusu chochote anachosema.
Crdt BBC