Wakati tukielekea kuikamilisha wiki hii, Mtandao wa Wanasaikolojia Uingereza, (UK Psychologicalexperts) umetoa mawazo kadhaa ya kukujenga unapomaliza wiki. * Jiamini *Acha kutumia muda mwingi kufikiri badala ya kutenda *Fanya kazi kwa bidii *Epuka k…
Sababu za Utokwaji wa Majimaji Katika Via vya Uzazi vya Mwanamke
Uhali gani mpendwa msomaji na mfuatiliaji wa makala hizi za afya. Leo tutakuwa na mwendelezo wa mada tuliyoianza wiki iliyopita. Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la utokaji wa majimaji katika via vya uzazi vya wanawake. Tuliona kuwa ni kawaida via …

Faida na Hasara za Kurudiana na mpenzi wako wa zamani
Kuna faida ya wapenzi kuachana na kurudiana? Vipi kuhusu hasara zake? Hiyo ndiyo mada yetu ya leo kama inavyojieleza. Bila shaka unawajua watu ambao walikuwa wakiishi pamoja kimapenzi, iwe ni ndoa, uchumba au uhusiano wa kawaida ambao wamewahi kuten…

Fanya Mambo haya 6 Kufanya watu wasiingilie Mapenzi yenu
Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi …

Mambo 7 Muhimu ya kufanya ili uwe na Afya bora
Miongoni mwa maazimio(resolutions) zinazoongoza ni pamoja na ile ya kuishi maisha yaliyo na afya bora zaidi na furaha. Afya na furaha ni mambo mawili makubwa sana katika maisha yetu.Ukichunguza sana takribani kila kitu tunachokifanya ni katika mp…

Nini Kinasababisha Mwanamke asipate Hedhi (Amenorrhea)
Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo. Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo.Tatizo la kukosa hedhi au amenorrhea linaweza kutokea aw…

Fahamu Suluhisho la Upungufu wa nguvu za Kiume
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa. Hivi upungufu wa nguvu za kiume ni nini? Kifupi ni mwanamume kutokuwa na uwezo w…

SOMA MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU CONDOMS!!!! ZIJUE AINA ZA CONDOMS NA MATUMIZI YAKE..
KONDOMU ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana.Nazo hubana kutokana na umbile la uume au uke. Kondomu hizi zipo za aina tofauti kutokana na muda na vipindi zilipotengenezwa, nazo ni kama ifuatavy…

Jinsi ya kuzuia chunusi na mabaka usonI
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au …
