Morata asisitiza kuondoka, Milan yajitosa
Morata asisitiza kuondoka, Milan yajitosa

Madrid, Hispania. AC Milan imejitosa kuisaka saini ya Alvaro Morata ambaye ndoto yake ya kuhamia Manchester United imeingia kiza baada ya kushindwa kufikia dau wanalotaka Real Madrid. Milan inayomilikiwa na mataji wa China wameonyesha wapo tayari ku…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Wenger ampa Sanchez mshahara mnono
Wenger ampa Sanchez mshahara mnono

LONDON, ENGLAND. Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anaamini wazi Alexis Sanchez anabaki katika klabu hiyo ili kukamilisha mipango yake ya kufanya kweli kwenye Ligi Kuu England msimu ujao. Sanchez siku chache tu zilizopita aliripotiwa akidai anataka k…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Straika Yanga Agoma Kutolewa kwa Mkopo
Straika Yanga Agoma Kutolewa kwa Mkopo

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Juma Mahadhi, amesema kuwa yuko radhi kuachwa na kikosi cha mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara badala ya kupelekwa kwa mkopo katika klabu nyingine  Mahadhi alitua Yanga msimu uliopita akitokea Coastal Union ya jijini Tanga…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Manji ajiuzuru Yanga
Manji ajiuzuru Yanga

              Yusuph manji akiongea na wachezaji wa Yanga Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji amejiuzulu wadhifa huo akidai kuwa anatoa nafasi kwa watu wengine kuiongoza. Kupitia barua yake iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Manji…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Juve yamsajili Cuadrado kwa mkataba wa miaka mitatu
Juve yamsajili Cuadrado kwa mkataba wa miaka mitatu

                              Juan Cuadrado                             Timu ya Juventus ya Italia imemsajili winga Juan Cuadrado kwa mkataba wa miaka mitatu, wenye thamani ya pauni milioni 17. Cuadrado amesajili na Juventus baada ya kucheza hapo kw…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Mohamed Hussein wa Simba ndiye mchezaji bora
Mohamed Hussein wa Simba ndiye mchezaji bora

Mohamed Hussein Zimbwe abeba tuzo ya mwanasoka bora Mchezaji wa timu ya Simba SC, Mohamed Hussein amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Mei kwa msimu wa 2016/2017.Hussein aliwashinda wachezaji Haruna Niyonzima wa Yanga na S…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Lionel Messi ahukumiwa kufungwa jela
Lionel Messi ahukumiwa kufungwa jela

Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai wakati wa ulipaji ushuru, vyombo vya habari nchini Uhispania vinaripoti. Babake, Jorge Messi, pia amehukumiw…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Simba Fungu la Kukosa
Simba Fungu la Kukosa

INAWEZA kuwa fungu la kukosa kwa Simba baada ya kupoteza kwa bao 1-0 mechi dhidi ya Toto Africans na hivyo kutia ugumu mbio zake za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Simba ilihitaji ushindi katika mechi hiyo ya jana ili kulingana pointi na Yanga…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Leicester alama 7 juu, Man U nafasi ya 5
Leicester alama 7 juu, Man U nafasi ya 5

Leicester waliimarisha nafasi yao ya kutwaa kombe lao la kwanza la ligi kuu ya Uingereza EPl walipoibana Southampton kwa bao moja kwa nunge. Nahodha wa The Foxes Wes Morgan alitumia vyema pasi safi ya Christian Fuchs na kuiweka Leicester alama 7 kil…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Arsenal,Chelsea na Man City zapata ushindi mkubwa
Arsenal,Chelsea na Man City zapata ushindi mkubwa

Arsenal imeimarisha matumaini yao ya kuwania taji la ligi ya Uingereza mwaka huu baada ya ushindi mkubwa wa mabao 4-0 dhidi ya Watford. The Gunners walichukua uongozi baada ya dakika nne za kipindi cha kwanza baada ya Alexi Sanchez kufunga bao la kw…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Simba ikifanya haya itatisha
Simba ikifanya haya itatisha

BAADA ya Simba, kukosa ubingwa ndani ya miaka mitatu kwa madai kuwa wanatengeza timu, straika wao wa zamani Ulimboka Mwakingwe, amewaambia viongozi wa klabu hiyo kuwa lazima wajenge urafiki na wachezaji wao na kuwafundisha jinsi ya kuishi na si kuwa…

SOMA ZAIDI HAPA>>
 
1
 
Top