Straika Yanga Agoma Kutolewa kwa Mkopo
Straika Yanga Agoma Kutolewa kwa Mkopo

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Juma Mahadhi, amesema kuwa yuko radhi kuachwa na kikosi cha mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara badala ya kupelekwa kwa mkopo katika klabu nyingine  Mahadhi alitua Yanga msimu uliopita akitokea Coastal Union ya jijini Tanga…

SOMA ZAIDI HAPA>>
 
1
 
Top