Sehemu ya Wananchi wakazi wa Mji wa Pongwe Mkoani Tanga wakiangalia mwili wa mtu huyo uliokuwa ukining'inia juu ya mti. Ambapo mpaka ripota wetu anaondoka eneo la tukio hakukuwa na Mwanausalama yeyote aliefika eneo hilo.


 
Safari ya kuingia kwenye pori hilo kwenda kushuhudia na kuona kama watamtambua mtu huyo.

 
Wakazi wa Mji wa Pongwe wakiuangalia mji huo kwa masikitiko makubwa.

 
Ni uzuni ulikuwa imetawala eneo hilo.

MTU mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 27 mpaka 30 ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekutwa akining'inia juu ya mti wa Mwembe uliopo katika pori lililopo nje kidogo ya mji wa Pongwe, Mkoani Tanga akidhaniwa kuwa amejinyonga.

Hali ya sintofahamu iliendelea kutanda katika eneo hilo huku kila alieweza kufika katika eneo hilo la tukio akiwa na mshangao wa kipi kilichomsibu mtu huyo mpaka kufikwa na mauti ya aina hiyo... Endelea>>




 
Top