Basi hilo lilikuwa likisafiri kutokaNjombe kuelekea Dar limepata ajali katika maeneo ya mikumi na kujeruhi watu kadhaa. Hata hivyo katika ajali hiyo hakuna mtu ambaye amepoteza maisha hadi sasa.
Home
»
» Unlabelled
» BASI LA ABIRIA LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MAENEO YA MIKUMI MUDA MFUPI ULIOPITA