Ni baada ya kupata kichapo kutoka kwa askari wa jeshi la polisi.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba
amekimbizwa leo Hospitali ya UN Clinic ya Kinondoni, Dar, baada ya presha
kushuka akiwa makao makuu ya polisi kujibu shutuma za kuandamana jana.
Habari kamili zitakujia hibvi punde usiende
mbali na mtandao wetu