Kutokana na tetesi ambazo zimeenea kuhusu msanii wa filamu nchini Tanzania maarufu kaa Odama, mwenyewe amefunguka katika page yake ya Facebook na kusema hivi "Ni kweli nilikua mjamzito na mpaka sasa tayari nimejifungua mtoto wa kiume,namshukuru sana mungu na mashabiki zangu wote kwa ushirkiano wenu tangu mwanzo mpaka sasa...Nawapenda sana!!!!!!!!!"
Huu ndio ukweli juu ya tetesi za kujifungua kwa msanii wa filamu Tanzania Odama.