
Msanii maarufu nchini tanzania anayefahamika kwa jina la Diamond ameibuka kidedea baada ya kunyakua tuzo saba. Katika tuzo hizo zilizonyakuliwa na bingwa hyo ni pamoja na:
Wimbo bora wa mwaka, wimbo bora wa Afro pop na video ya mwaka kwa wimbo wake wa My Number One pamoja, Muimbaji bora wa kiume – Kizazi kipya, Mtunzi bora wa kiume wa muziki, mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi kipya.