
Mtoto mwenye umri wa miaka saba
nchini Zimbabwe amejisikia moyo wake ukimuuma sana baada ya kubaini kuwa mama
yake anamsaliti baba yake. Mtoto huyo ambaye ameingia katika wakati huwo
mgumu ameweza kubaini halihalisi baada ya kukuta picha alizopiga mama yake Mr.s
Ndebele akiwa na mwanaume mwingine.
Picha hizo zilikuwa kwenye simu ya mwanamke huyo huku akiamini kuwa mume wake bwana Ndebele hakuwa na utamaduni wa kushika simu yake
ama kuifungua na kuangalia kilichomo ndani.
Mtoto huyo alichukua simu hiyo na
kwenda kumuonesha baba yake uchafu ambao anaufanya Mr.damian akiwa na wanaume
wengine. Baba wa mtoto huyo alipoziona hizo picha alipandisha hasira na kumtwanga mke wake huku akisema kuwa alikuwa mke wake huyo alikuwa amemnyima haki ya ndoa kwa takribani mwaka mzima.
Mr.Ndebele alikanusha taarifa hizo na kusema kuwa, mwanaume huyo alikuwa amekasirika baada ya kukuta taraka iliyokuwa imeandikwa na mwanamke huyo ili kuvunja ndoa yao iliyodumu kwa miaka 18. Alizungumza mwanamke huyo mbele ya mwanasheria huku akiwa na mabandeji usoni yaliyosababishwa na kipondo alichokuwa ameteremshiwa na mume wake