Waziri wa Elimu Shukuru Kawambwa
Wanafunzi wa shule ya sekondari
ya wasichana MASSASI GIRLS iliyopo
mkoani mtwara, wameandamana jana Jumapili mida ya saa 11 asubuhi hadi kwa mkuu
wa wilaya hiyo. Maandamano hayo ya wanafunzi yalikusudia kushinikiza kuondolewa
mkuu wa shule Reinader Tesha kufuatia mwanafunzi mwenzao (Omega Kabuje) aliyekuwa
anasoma kidato cha tano kufariki siku ya (Jumamosi)