Muonekano wa nje wa via vya uzazi vya mwanamke
Kama ilivyokuwa kwa
baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali
kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “Uke mpana/mkubwa wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule
msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.
Natambua
kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono
lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi. Hili tatizo mara
nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendelea.
Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa una tatizo hili hasa pale
unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa
kinatokea baada ya kuzaa.
Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa
mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha
u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya
tumbo pamoja na yale maalumu kabisa yanayoitwa Kegel.
Zoezi hili
limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician”
alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama
wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia
kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada
ya kujifungua.
Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi
hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kurudisha “mnato” wa uke pia na
wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya
wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao
wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa).
Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya haja kubwa(mkundu).
Unajua unapotoa haja kubwa ile ngumu au hata ya kawaida huwa
huliachii mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo,
ukilikata lile "javi " sehemu yako ya nyuma (mkundu) inakuwa kama vile
ina "hema" au "inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa
unatakiwa kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio
wakati unakunya. Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya
haraka-haraka ili uwahi kumaliza.
Hali hiyo ya mkundu na Uke
"kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia utamu wa kufanya mapenzi
mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni pale unapofika.....hasa
ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje.
Vilevile unaweza
ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia mkojo
usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika
fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha
uachie na rudia tena mpaka mkojo wote uishe.
Zoezi hili
halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengi tu bali na
mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake.
Ikiwa unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi
wako kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wake kila unapo
ingia deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako na ikiwa wewe ni
kati ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli
yako hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako ambayo
hajawahi kuipata toka umaji-maji ujitokeze.
Nitajuaje kama nimepatia?
Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa.
Fanya zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona
mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana.
Ikiwa wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza
raha ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya
zoezi hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia
mbane-mwachie na kamua "cream" yote.
Pia Kegel inaweza ikafanywa
kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku kisha ipumzishe kwenye sakafu
alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na vikanyagio viwe sambamba
kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako kwenda juu baki hapo juu
(huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile unazuia mkojo usitoke) kwa
muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri uwezavyo.