Mtu mmoja amelazimika kutolewa katika nyumba aliyokuwa akiishi kutokana na fitna za kiimani. Inasemekana anageuza nyumba kama kanisa.



Mkazi huyo wa mjini Bagamoyo amejikuta katika wakati mgumu baada ya wanakijiji wenzake wakishirikiana na uongozi wa kijiji kumuondoa katika nyumba aliyokuwa akiishi kwa madai ya kuwa alikuwa anaweka muziki wa nyimbo za dini kwenye redio yake.



Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii kilipokutana na Utamu wa Raha kilieleza kuwa, wananchi wa eneo hilo ambao asilimia kubwa ni waumini wa dini ya Kiislamu, wamechukua jukumu hilo la kumfukuza mwanakijiji mwenzao kwa kusema kuwa anageuza nyumba kanisa kwa huweka nyimbo zanjili.


 
Top