
Job Vacancies > Dereva
Location > Mafinga
Position Type > Full Time
Organization Type > NGO
Location > Mafinga
Position Type > Full Time
Organization Type > NGO
Application Deadline: 15 Dec
2014
Green
Resources
Dereva (x 2)
POSITION DESCRIPTION:
Green Resources ni moja ya makampuni makubwa ya Afrika inayojishughu/isha
na upandaji wa miti na lipo chini ya kampuni mama inayoitwa Green Resource
AS. Biashara kubwa ya Green Resources ni kuanzisha mashamba ya misitu kwaajili ya biashara kwa ajili ya uzalishaji wa mbao Kampuni inatoa nafasi kwa mtanzania mwenye sifa kutuma maombi ya kazi ya udereva.
Majukumu:
AS. Biashara kubwa ya Green Resources ni kuanzisha mashamba ya misitu kwaajili ya biashara kwa ajili ya uzalishaji wa mbao Kampuni inatoa nafasi kwa mtanzania mwenye sifa kutuma maombi ya kazi ya udereva.
Majukumu:
- Kuendesha gari la kampuni
- Kutunza na kuandika kitabu cha safari" log- book" kwa safari zote
- Kufanya uchunguzi wa gari kabla ya safari iIi kugundua ubovu unaohitaji matengenezo
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- Kuhakikisha gari na vifaa vyake vipo katika hali nzuri wakati wote
- Kufanya kazi nyingine yoyoye utakayopangiwa na kuongozi wa kazi
Sifa za Muombaji:
- Awe na leseni ya udereva daraja B, C, Cl, C2, C3, 0 na E.
- Awe arnehltimu elimu ya kidato cha nne au zaidi .
- Awe anajua kusoma, kuandika na kuzungumza lugha ya Kiswahili na
kiingereza
- Awe na chetl cha udereva mahiri kutoka chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT}
- Awe anajua kutunza muda.
If you are qualified for this position, Please follow the application instructions