Elimu imekuwa ikichukuliwa ni kitu cha msingi sana katika jamii ya wasomi husika. Lakini imeoneokana kuwa tofauti na mtazamo huwo na badala yake wasomi ambao tumekuwa tukiwategemea waje kuwa mstari wa mbele katika kubadilisha mitazamo tofauti katika jamii, ndio hao waliokuwepo mstari wa mbele katika kupotosha jamii kutokana na matendo yao.

Kila kukicha kumekuwepo na taarifa zikiambatana na picha za wanafunzi wakifanya uchafu. Kumekuwepo na picha za wasomi hao wakisagana, wakifanya ushoga, wakijiuza, na kila aina ya ufuska. Jamni tunakwenda wapi? wasomi mnatuambia nini sisi ambao hatukupata bahati ya kusoma? Sijui lakini sielewi kabisa. Au ndio sodoma na gomola inaanzia kwa wasomi?
 
Top