Ni wiki chache tu zimepita tangu Afande Vero na wenzake watimuliwe kazini kwa kosa la kupiga picha zisizo na maadili na kuzitupia mitandaoni.
Leo hii picha nyingine zinazofanana na hizo za akina Vero (Zisizo na maadili) zinasambaa mitandaoni kama upepo.
"Jamani mnalipeleka wapi jeshi letu mbona hatuwaelewi? Tunajua ni kinyume na kanuni pamoja na taratibu za jeshi, lakini watu kama hawa wanaleta picha gani katika jeshi letu la polisi?" alizungumza mwananchi mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Ni vyema serikali ifanye kazi yake, kama ambavyo afande Vero na wenzake walivyowajibishwa tunaomba basi na hata hawa wawajibishwe ipasavyo.
Picha za Juu zinaenea kwenye mitandao zikiwa hazina maadili ya kazi
Kwenye picha Mwanamke ni Afande Vero aliyetimuliwa Kazi pamoja na wenzake walioshiriki kupiga picha kama inavyoonekana kulia wakiwa na sare za Jeshi.
KUPITIA MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA