Jiunge nasi Facebook  ili Uwe wa kwanza kupata Matukio Bofya Hapa>> 

________________________________________________________________________________________

Mwanamke anaswa akimtumbukiza mtoto wake kisimani. Hali ya sintofahamu imeibuka katika mtaa wa Azimio, kata ya Kihonda katika manispaa ya Morogoro, baada ya mwanamke mmoja, Veronica Madebe, kukutwa akitaka kumtumbukiza mwanaye wa kiume ambaye ni pacha, mwenye umri wa kati ya miaka mitano hadi saba kwenye kisima cha maji, kutokana na... Soma zaidi>>

________________________________________________________________________________________

Amnyonga Mtoto wa Mwaka mmoja baada ya kugombana na mke wake.   Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja mkazi wa kijiji cha Kindo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro amefariki dunia baada ya kunyongwa na baba yake wa kambo kufuatia migogoro ya kifamilia kati yake na mkewe. Soma zaidi>>

________________________________________________________________________________________

Awaua Mkwewake pamoja na mwanawe kwa kuwachoma kwa kisu.    MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.   Soma zaidi>>

________________________________________________________________________________________

Aishi na Maiti kwa miezi 6 akidhani itafufuka.  Aifungia ndani huku akifanya maombi akiamini ingefufuka kama Yesu alivyomfufua Lazaro.   Soma zaidi>>

________________________________________________________________________________________

Wafugaji 9 Wauliwa katika mapigano na wakulima.  Kamanda Matei amesema maiti zilizopztikana zimeokotwa shambani na zingine zimetupwa msituni.  Soma zaidi hapa>>

________________________________________________________________________________________

Mwanamke Akatwakatwa Mapanga na Shemeji yake.Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Olkokola Wilayani Arumeru Mkoani Arusha amefanyiwa ukatili wa kutisha kwa kukatwakatwa na Panga kichwani na kuondolewa kiganja cha Mkono, sikio na sehemu nyingine za mwili wake, Soma Zaidi hapa>>

________________________________________________________________________________________

Mwanaume Auawa Kikatili Mbeya kisa Wivu wa Mapenzi
Mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Henry Ambakisye (60) mkazi wa kijiji cha Kandete amekutwa ameuawa kisha mwili wake kutupwa mtoni.  Soama zaidi>> 

________________________________________________________________________________________

BODABODA MOROGORO ACHINJWA KISA MKE WA MTU- Dereva wa Bodaboda aliyefahamika kwa jina moja la Kambi amekutwa amekufa huku chanzo cha kifo chake kikisemekana kuwa ni kuchukua mke wa mtu Soma Zaidi>>

________________________________________________________________________________________

majiraniMtoto ageuka Nyoka na kuzua Kizaa zaa Geita:   Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana na kukataa kunyonya maziwa ya mama yake.  Read more>>    

________________________________________________________________________________________

Mapigano makali yanaendelea baina ya Wafugaji wa kimasai na Wakulima.  Mapigano makali yanaendlea baina ya wafugaji wa kimasai na wakulma eneo la Matui huku chanzo cha mapigano hayo kikisemekana kuwa ni kugombeamaeneo ya kufanyia shughuli za kilimo na ufugaji. Read More>>  

________________________________________________________________________________________

Top