Jiunge nasi Facebook ili Uwe wa kwanza kupata Matukio Bofya Hapa>>
___________________________________________________________________________________
“Nina ushaidi wa video jinsi baadhi yao walivyohusika na jambo hili,
nimechoka kupiga siasa na wakishakamatwa nataka uchunguzi wa mali zao uanze
mara moja na ikiwezekana zipigwe mnada,” alisema. Soma zaidi hapa>>
________________________________________________________________________________________
Mtoto wa miaka 2 kuua mama yake.
________________________________________________________________________________________
Mwanafunzi Afa kwa Kunyongwa
Mama
wa marehemu, Abida Zuberi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku.
Alisema siku hiyo mtoto huyo alikwenda kulala kwenye nyumba ya dada yake ambaye
amelazwa hospitali. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi mkoani mwanza
Valentino Mlowola , ameitaarifu BBC kuwa leo ni siku ya tatu na polisi bado ina
matumaini ya kumpata akiwa hai motto huyo. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Mwanafunzi wa shule ya msingi Anyongwa Handeni
Kamanda wa polisi mkoani Tanga naibu kamishna wa jeshi la
polisi Frasser Kashai amethibitisha kutokea kwa tukio na amewaomba wananchi wa
wilaya ya Handeni na mkoa wa Tanga kwa ujumla kutoa ushirikiano kwa jeshi la
polisi ili kuhakikisha kuwa vitendo hivyo vinakomeshwa. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Polisi walifika eneo la tukio na kukuta kijana huyo ameanguka chini na damu nyingi zikiwa zimemtoka sehemu za shingoni na kifuani huku akiwa amewekewa nguo shingoni ili damu isiendelee kutoka ambapo ilisemekana ilikuwa ikitoka nyingi sana. Soma zaidi>>
_______________________________________________________________________________________
Alisema
baada ya kutoka nje alikuta damu na mwili wa kijana Muhasi na kuambiwa
kuwa jirani yao Lucas Muhabi ndiyo amemuua kwa kumpiga risasi na muda
siyo mrefu polisi walifika na kuuchukua mwili kuupeleka Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Houseboy' Jela Maisha kwa kubaka mtoto.

________________________________________________________________________________________
Tibaijuka Asema "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"

________________________________________________________________________________________
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Balozi Sefue mjini Dar es Salaam imesema
kuwa amechukua hatua hiyo “Kwa mujibu wa Kifungu 4(3) (d) cha Sheria ya
Utumishi wa Umma, Na. 8 ya mwaka 2002 (kama ilivyorekebishwa)”ambapo “Katibu
Mkuu Kiongozi ndiye Mamlaka ya Nidhamu kwa Watumishi wa Umma wanaoteuliwa na
Rais, wakiwemo Makatibu Wakuu. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Mwanamke Amiminiwa Risasi hadharani
Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanatumia
usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamemuua kwa kumpiga risasi dada
mmoja ambaye jina lake halijafahamika. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Marehemu
waliotambulika kwa majina ni wanne ambao ni 1. Thomas Simfukwe (35) 2.
Exavery Mumbisa (34) 3. Amina Maiko (30) 4. Neema Almasi 5. Hebeli
Mkilimi 6. Rose Hezron Halele na 7. aliyefahamika kwa jina
moja Januari.Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Mwanafunzi wa Chuo auawa kwa Sumu
Denti huyo alikuwa kama
anafahamu siku ya kifo chake ambapo siku moja kabla alimshukuru Mungu kupitia
ukurasa wake wa Facebook kwa yote aliyomfanyia kisha kutuma picha mbalimbali
akiwa katika pozi tofauti.Soma hapa>>
________________________________________________________________________________________
Hii imekuja siku chache
baada ya Tibaijuka kusema kuwa rais Kikwete hawezi kumuwajibisha. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________

Akitoa hukumu hiyo jana Kiongozi wa jopo la Mahakimu
watatu wanaoisikiliza kesi hiyo, Jaji wa Mahakama Kuu, Edson Mkasimongwa
alisema baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na Endelea>>
________________________________________________________________________________________
Aziza Hassan mmoja wa wnaafamilia walionusurika katika mkasa huo alisema mama
yake pamoja na watoto wake wawili walipelekwa kwa mganga wa kienyeji na baba
yao wa kufikia kwa ajili ya kufanyiwa tambiko. Soma zaidi
_______________________________________________________________________________________
Wananchi wachezea maisha ya kibaka
Mashuhuda wa tukio hili walisema
kijana huyo na wenzake waliiba pikipiki mbali na hapo Mwembechai ila katika purukushani
na wamiliki wa chombo kile, kijana yule alijikuta akianguka kutoka kwenye
pikipiki, Endelea>>
________________________________________________________________________________________
Miili ya watu wapatao 129
imepatikana kutoka Ziwa Tanganyika baada ya feri kupinduka na kuzama mapema Ijumaa. Soama zaidi>>
_______________________________________________________________________________________
________________________________________________________________________________________
Wameuawa na wananchi wenye hasira Kali kwa Tuhuma za ujambazi. Watu wawili
kati ya wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi wenye hasira
baada ya jaribio lao la kutaka kupora fedha zaidi ya shilingi milioni 100
katika kiwanda cha kutengeneza chokaa cha Nelkanth kilichopo eneo la Amboni
jijini Tanga kushindikana. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni mganga wa kienyeji, anadaiwa
kumbaka na kumwingilia kinyume na maumbile msichana mwenye umri wa miaka 19
aliyemsindikiza dada yake kwa mganga huyo kupata tiba. Soma zaidi>>