Jiunge nasi Facebook ili Uwe wa kwanza kupata Matukio Bofya Hapa>>
_______________________________________________________________________________________
Mwanaume Amuua Mpenzi wake na Kunyofoa Moyo Kisha Kuutafuna. Tukio
hili la kikatili na la kusikitisha ambalo sio la akawaida na ni tukio
la kushangazamiongoni mwa matukio makubwa yaliyowahi kutokea nchini. Soma zaidi hapa>>
_______________________________________________________________________________________
Baba Ajiua baada ya kuona Picha za Utupu za Binti yakeMsichana huyo mwenye umbo la kuvutia alisema, '' Babangu aliacha
kuongea na mimi na kuonekana mwenye hasira sana''. Soma Zaidi>>
_______________________________________________________________________________________
mshindi atapata dola 2,000 fedha taslimu.
Gazeti
la The New York post limeripoti kwamba wanawake 68 wanashiriki katika shindano
hilo. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Watu wamemchinja Mwenyekiti na Kumpika
Walichukua viungo
walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka
maji na kisha kubandika kwny moto na kuanza kuvipika. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Uamuzi huo umetolewa jana na wenyeviti wa vyama vinavyounda umoja huo wa
ukawa ambao ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF,
Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na
Mwenyekiti wa NLD, Makaidi. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Alisema siku hiyo
ya tukio mshtakiwa alikutana na mtoto huyo njiani akielekea nyumbani kwao ndipo
alipomshika mkono na kwenda naye kwenye pagala la nyumba katika mtaa huo. Soma zaidi hapa>>
________________________________________________________________________________________
Katika purukushani hizo
watu wawili wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na mmoja miongoni mwa watu
hao ni mwalimu wa shule ya msingi Sirari aliyefahamika kwa majina ya
Mataigwa Muhono (39) ambaye amepigwa risasi mguuni. Soma Zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Kitendo
cha kufukua maiti kimekuwa kikifanywa kwa kufuata taratibu maalumu za kimila na
zisipofuatwa inaaminika huwa na madhara makubwa kwa ukoo ikiwamo kusababisha
kifo. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Wanafunzi waliokuwa kwenye maandamano ya kudai fedha zao za
kujikimu walidai kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wenzao waligongwa na gari ya
polisi iliyokuwa ikitawanya maandamano hayo ambayo polisi waliyaita ni haramu
na kufariki dunia.Soma zaidi Hapa>>
________________________________________________________________________________________
Kuna taarifa mbalimbali zinasambazwa za kuwachafua
baadhi ya makada wa chama hicho zinazopaswa kutolewa ufafanuzi na viongozi wa
ngazi ya juu badala ya kuzikalia kimya. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
MAITI YA MWANAMKE YAZIKWA KWA MARA YA PILI SHINYANGA
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa, Kata ya Masekelo, Josephina
Kishiwa alisema alipata taarifa za tukio hilo juzi. Soma hapa>>
________________________________________________________________________________________
"Nilipota taarifa hiyo, niliongozana na majirani tukiwa na ndugu wa
marehemu na kushuhudia mwili wa mtoto huyo ukiwa umelazwa kwenye sinki la
kuogea hukusehemu zake za siri zikiwa zimeharibiwa vibaya" Soma hapa>>
___________________________________________________________________________________
Tukio la kupotea kwa mwanamke huyo liliripotiwa katika kituo cha Polisi siku ya
Jumapili January 4, siku iliyofuatia Polisi walianza na upelelezi wa tukio
hilo. Soma hapa>>
________________________________________________________________________________________
Vipande vya mwili vinakusanywa vikiwemo mikono, miguu, na kifua. Lakini kichwa kinashindwa kupatikana. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Changu alipoona amezidiwa nguvu na jamaa alikwenda mbele ya gari ya jamaa na kujilaza kwenye boneti ili kumzuia asiondoke. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Ndugu wa Marehemu hao
wametelekeza miili ya watoto wao katika hospitali ya wilaya ya Tarime
kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutunza mila na desturi. Soma Hapa>>
________________________________________________________________________________________
Watu 5 wafa wakimpeleka mjamzito Hospitali
Kwa
mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Uirich Matel amethibitisha
kutokea kwa tukio hilo na amesema kuwa, ajali hiyo imetokea tarehe 5
majira ya saa 6:30 mchana eneo la Fuyakosi tarafa ya Msata wilaya ya
Bagamoyo. Soma hapa>>
______________________________________________________________________________________
Inadaiwa kuwa Kasanga na Kaseregela
walikuwa wakiwarubuni wanawake kadhaa, kufanya nao mapenzi na kutumia mwanya
huo kuwalewesha dawa, kuwaibia na kuwaua. soma hapa>>
________________________________________________________________________________________
Washtakiwa hao wanaokabiliwa na mashtaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la
Polisi ya kufanya mkusanyiko usio halali. Wakili anayewatetea, Peter Kibatala
aliiomba mahakama kulifuta shtaka hilo la pili katika kesi hiyo kwa madai kuwa
lina upungufu wa kisheria. Soma zaidi Hapa>>
________________________________________________________________________________________
Ajinyonga akihisi amemuua mtoto wake
Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Dickson Wilson alimtaja mtu huyo kuwa ni Godfrey Joseph, mkazi wa Kijiji cha Bushembe na kwamba tukio hilo lilitokea Januari 3, mwaka huu. Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Aua, ajiua, aacha ujumbe wa
kurasa nne

Ilidaiwa kuwa, mwenye nyumba huyo alitumia funguo zake za akiba kufungua
nyumba hiyo na kukuta mwili wa mjomba wake ukiwa umepigwa na shoka na tayari
umeanza kuharibika. Soma zaidi hapa>>
________________________________________________________________________________________
Mwanamke achoma nyeti za mume wakeMwanamke mmoja ambayE jina lake ni
Nosma Dube mwenye umri wa miaka 28 amemchoma mumewe sehemu za siri kwa maji ya
moto baada ya kuhisi akiwa anamsaliti na mwanamke mwingine.Soma zaidi>>
________________________________________________________________________________________
Ni kuhusiana na mikataba mbalimbali aliyoingia.
___________________________________________________________________________________
Nimkazi wa Vingunguti jijini Dar es salaam ambaye amekutwa na mauti baada ya kufumaniwa na mwanamke wa mtu. Soma hapa>>
________________________________________________________________________________________
Akizungumzia hatua hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Nansio
jana, Mwalimu ambaye ameanza ziara mkoani hapa juzi kwa lengo la kuwashukuru
wananchi baada ya kukichagua chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
alisema hakuridhishwa na maandalizi yaliyofanywa na viongozi hao. Soma zaidi hapa>>
________________________________________________________________________________________
Aeleza sababu za yeye kufanya hivyo ambapo baba yake anahusikwa kwa asilimia mia moja.Soma hapa>>
________________________________________________________________________________________
Kamanda Kashai alisema cha kusikitisha, biashara hiyo
sasa inafanywa mpaka na watoto wadogo wenye umri wa kwenda shule na wanafunzi
wanaosoma shule za bweni ambao wengi hutoroka nyakati za usiku na kwenda
kujiuza kwenye nyumba za starehe. Soma zaidi>>