Mtu mmoja amechinjwa na mwengine akajeruhiwa vibaya baada ya shambulizi la kiislamu katika mji wa Lyon Ufaransa.
Vilipuzi
kadhaa vilitegwa katika karakana moja iliyoko Saint-Quentin-Fallavier
Mwanaume mmoja amekamatwa na maafisa
wa usalama kufuatia tukio hilo.
Mvamizi
aliyetekeleza mauaji hayo anasemekana kuwa alikuwa akipeperusha kibendera cha
wanamgambo wa kiislamu.
Kibendera
hicho kilipatikana kimetupwa karibu na eneo la tukio.
Inaaminika kuwa waliotekeleza
shambulizi hao walikuwa na bendera iliyoandikwa katika kiarabu
Mwanaume
mmoja amekamatwa na maafisa wa usalama kufuatia tukio hilo.
Waziri
wa usalama wa ndani Bernard Cazeneuve yuko njiani kuelekea kwenye eneo la
tukio.
Hili ni shambulizi la kwanza tangu
watu 17 wauawe miezi sita iliyopita
nza
nWakati huohuo rais wa Ufaransa Francois Hollande anatarajiwa kukatiza ziara
yake rasmi ya viongozi wa bara ulaya na kurejea nyumbani kukabili janga hilo.
Shambulizi
hili ni la kwanza tangu lile la kigaidi lililopelekea kuuawa kwa watu 17 miezi
sita iliyopita.