Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania RAHCO Mhandisi Benhadard Tito #(Pichani) kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati sambamba na na kuivunja bodi ya RAHCO.
Chanzo ITV
MATUKIO NA HABARI ZENYE UHAKIKA BOFYA HAPA>>
Chanzo ITV
MATUKIO NA HABARI ZENYE UHAKIKA BOFYA HAPA>>