BREAKING NEWS: Philemon Ndesamburo afariki dunia
BREAKING NEWS: Philemon Ndesamburo afariki dunia

Dodoma. Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospital...

SOMA ZAIDI HAPA>>

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amng'oa Profesa Muhongo
BREAKING NEWS: Rais Magufuli amng'oa Profesa Muhongo

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuachia madaraka kushindwa kusimamia sua...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Hili hapa Sakata la Bashite Kusulubiwa na Vyeti Feki Kisheria.
Hili hapa Sakata la Bashite Kusulubiwa na Vyeti Feki Kisheria.

Wakili Tundu Lissu na wenzake wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wamelikomalia vilivyo sakata maarufu la Bashite linalohusiana na t...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Hii hapa Orodha yote ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi
Hii hapa Orodha yote ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi

Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani. Majina yamegawanyika katika Orodha m...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Magufuli ataja jina la kwanza la mtumishi mwenye cheti feki
Magufuli ataja jina la kwanza la mtumishi mwenye cheti feki

Dodoma. Rais John Magufuli amekabidhiwa majina ya watumishi wenye vyeti feki na kutaja jina la kwanza la mtu aliyetajwa kwenye ripoti...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Rais Magufuli Awatimua Kazi Watumishi 9,932 Wenye Vyeti Feki
Rais Magufuli Awatimua Kazi Watumishi 9,932 Wenye Vyeti Feki

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 28, 2017 amepokea rasmi taarifa ya Uhakiki wa Watumishi wa Um...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Hii ndiyo kauli ya Wema Sepetu Baada ya Nape Nnauye kutenguliwa Uwaziri
Hii ndiyo kauli ya Wema Sepetu Baada ya Nape Nnauye kutenguliwa Uwaziri

MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu, ‘Madam’, ambaye hivi karibuni alihamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameweka ujumbe ...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Nape naye Afunguka Baada ya kutenguliwa Uwaziri
Nape naye Afunguka Baada ya kutenguliwa Uwaziri

Nape Nnauye ambaye ni Mbunge wa jimbo la Mchinga amesema hayo kupitia mtandao wake wa twitter  "Ndugu zangu naomba tutulie! leo m...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Mbunge na Dereva wake watupwa Jela Miezi sita
Mbunge na Dereva wake watupwa Jela Miezi sita

Mbunge wa Kirombero Peter Lijualikali Morogoro. Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali na Dereva wake, Jo...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Wadaiwa wajinyonga kutokana na msongo wa mawazo
Wadaiwa wajinyonga kutokana na msongo wa mawazo

Tabora. Wanawake wawili wamefariki dunia kwa kujinyonga katika matukio mawili yaliyotokea mikoa ya Geita na Tabora...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Ajikuta Kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli
Ajikuta Kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli

MTUNZA bustani Maganga Masele (25) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na ma...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Serikali yashtukia ubia na shule binafsi.
Serikali yashtukia ubia na shule binafsi.

WAMILIKI wa shule binafsi sasa wameomba kuingia ubia na Serikali ili wapewe ruzuku kuwezesha shule zao kudahili wanafunzi wa kidato ch...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Gari Lililokuwa na Bosi wa CCM pamoja na Waandishi Laparamia mti
Gari Lililokuwa na Bosi wa CCM pamoja na Waandishi Laparamia mti

 Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi, Damas Nyanda WAANDISHI wa habari, viongozi wa Chama cha Mapinduzi(CCM) akiwemo Mwenyekiti wa CCM ...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Polisi wasambaratisha wafuasi wa Chadema
Polisi wasambaratisha wafuasi wa Chadema

JESHI la polisi wilayani Arumeru Mkoani Arusha, jana asubuhi lilisambaratisha kikundi cha watu waliokuwa wakifanya maandalizi ya mkutan...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Mhasibu kizimbani kwa kumtusi Rais Magufuli
Mhasibu kizimbani kwa kumtusi Rais Magufuli

MHASIBU wa shule ya sekondari ya Mtakatifu Joseph, Elizabeth Asenga (40), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Magufuli amaliza ubishi nani Rais halali Zanzibar
Magufuli amaliza ubishi nani Rais halali Zanzibar

ZIARA ya Rais John Magufuli visiwani Pemba imemaliza ubishi wa kisiasa na maneno ya kejeli kutoka kwa wafuasi wa Chama cha Wananchi ...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi… Msigwa Ahutubia Iringa
Tundu Lissu Akamatwa na Polisi… Msigwa Ahutubia Iringa

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na polisi muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdog...

SOMA ZAIDI HAPA>>

Rais Magufuli ateua maDC 139 na kupangua maRC
Rais Magufuli ateua maDC 139 na kupangua maRC

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi. Z...

SOMA ZAIDI HAPA>>
 
Top