Watu wanne wamekufa papo hapo katika ajali iliyotokea eneo la Mapinga
wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya magari matatu yaliyokuwa
yamebeba watumishi wa Halmashauri,waliokuwa kwenye msafara wa Naibu
Waziri wa TAMISEMI kugongana na Lori.
chanzo: ITV