Watu
3 wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Fuso
kuligonga Treni ya mizigo wilayani Manyoni mkoani Singida na kusabisha
moto mkubwa kuwaka na kuharibu miundo mbinu ya reli.
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>