Mwanaidi
Kufuatilia ajali mbaya ya kuungua na moto Bi mwanaidi saleh vuai huko Zanzibar, ZANAZIBAR DIASPORA COUNCIL [ baraza lenye wawakilishi zaidi ya nchi 20 duniani] limekutana na kujadili jinsi ya kuweza kumsaidia mama huyu ili kupata matibabu muafaka.

Kwa niaba ya Baraza nimetakiwa niwaombe na niwajuulishe wale wote wenye uwezo na moyo wa kutoa michango ya msaada huu kuwasiliana nami kwa njia ya simu +447588550153 ama inbox ya FB kwa ajili ya kutoa misaada yao, ama wanaweza kutoa michango yao kupitia PAYPAL ya mzalendo na kuandika ref Bi Mwanaidi na kwa wale waliopo nyumbani wanaweza kutumia tigo pesa ya Bwana Ally Saleh 0715430022.

Shukran

Written by  

 
Top