Diagram shwoing the layers of the vaginal wall


Baadhi ya wasichana nchini Kenya wameibuka na tabia ya kutumia sabuni fulani ambayo inadaiwa kurudisha bikira kwa kukaza misuli ya uke, jambo ambalo linasaidi kuongeza raha wakati wa kufanya tendo la ndoa/mapenzi na mwanaume.

Wanawake wa mjini Naorobi walipopata fursa ya kuzungumza na BBC, walieleza kuwa ni kweli sabuni hiyo inasaidi kukaza misuli ya uke na kurejesha hali ya ubikira kwa asilimia 100%

Hata hivyo kwa mujibu wa wataalamu wa afya nchini Tanzania wanaeleza kuwa kitendo hicho cha kutumia sabuni ama kemikali nyingine yoyote ukeni ni hatari na kinapelekea magonjwa mengi kama vile saratani ya kizazi.

 
Top