Mheshimiwa Raisi Kikwete akiongoza msafara wa mazishi
Tathnia ya Filamu nchini imepata pigo kubwa kwa kupoteza mtu mashuhuri katika shughuli hizo za uchezaji wa filamu.


Msanii maarufu aulikanae kwa jina la 'Mzee Manento' ameripotiwa kufariki dunia. Kwa mujibu wa Raisi wa shirikisho la wasananii nchini, Simon Mwakifwamba amethibitisha kutokea kwa msiba huwo na ameeleza kuwa msiba upo nyumbani kwa marehemu Kigogo jijini humo.

Mzee Manento atakumbukwa sana hasa kwa uchezaji wake katika tathnia hiyo. Aidha filamu kadhaa alizowahi kuzicheza ni pamoja na Fake Postor, Hero of The Church, na Dar to Logos.
  
Kwenye picha ni Marehemu Manento enzi za uhai wake

INNALILAHI WAINNA ILAIHI RAJIUN, BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE - AMEN
 
Top