Baada ya sekeseke kumkabili msanii wa kizazi kipya Nasib Abdul maarufu kama 'Diamond Platnumz' ameamua kuchukua maamuzi hayo akiamini inaweza kuwa suluhu la msala huo.
Msanii huyo amechukua maamuzi ya kuandika barua ya kuomba radhi Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kosa la kupanda jukwaani na nguo za Jeshi kufanya nazo shoo mnamo Oktoba 18 mwaka huu 2014 kitu ambacho ni kinyume na maadili ya jeshi hilo na nisawa na kulidhalilisha.
Barua iliyoandikwa na Diamond kwa JWTZ