Klabu inayodaia kuwahifadhi wanaume tata imegundulika karibun maeneo ya Kinondoni jijini Dar karibu na Viwanja vya Leaders.
Mwanaume Tata akiwa katika Pozi
Paparazi wetu aliibaini klabu hiyo baada ya kuwanasa wakifanya pati ya
kuzaliwa kwa mmoja wa wanaume hao aliyejitambulisha kwa jina moja la God ‘God
Chocolate’.
Wanaume tata wakiwa kwenye pozi.
Mwanahabari wetu ambaye alichukua matukio tofauti
ukumbini hapo, aliwashuhudia wanaume hao wakiwa katika hali isiyokuwa ya
kawaida kwani walijiachia kwa vinywaji vikali na muziki huku wakibusiana
kimahaba.
Wakiwa kwenye pozi tofauti.
Kikubwa kilichostaajabisha ni jinsi ambavyo God
alivyovaa mavazi ya kike na kujiremba kama vile anakwenda harusini.
Kijana Tata akiwa Katika Pozi
“Hawa kila siku ukija katika klabu hii utawakuta. Ndiyo michezo yao. Wanahifadhiwa humuhumu ndani na wateja wao wanakuja hapahapa,” alisema mmoja wa wahudumu wa klabu hiyo.
“Hawa kila siku ukija katika klabu hii utawakuta. Ndiyo michezo yao. Wanahifadhiwa humuhumu ndani na wateja wao wanakuja hapahapa,” alisema mmoja wa wahudumu wa klabu hiyo.
Chanzo Risasi