Dodoma. Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi. Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kuelez…
Watafiti: Uendeshaji boda boda ni hatari kwa uzazi
Vijana wengi Afrika Mashariki wamekuwa wakitumia baiskeli kufanya biashara ya uchukuzi wa abiria, maarufu kama boda boda. Ni kazi inayohitaji mhudumu atumie nguvu nyingi za mwili wake. Sasa, watafiti nchini Kenya wanasema kunaweza kuwa na changamoto…

Mwanamume ahukumiwa kwa kugonga 'like' Facebook
Mahakama moja nchini Uswizi imempiga faini mwanamume mmoja aliyebofya alama ya kupenda au "like" kwa Kiingereza katika maoni yaliyotolewa kwenye ujumbe ulioandikwa katika Facebook. Ujumbe huo ulikuwa wa kumharibia mtu mwingine sifa. Kesi hiyo ilihus…

Waliotumbuliwa wanalipwa Sh480 milioni kwa mwezi
Dodoma. Maoni ya upinzani ya wizara mbili, jana yaliibua hoja tofauti; ya kwanza ikidai Serikali inawalipa wakurugenzi 120 waliotumbuliwa Sh480 milioni, na ya pili ikikikishutumu kiti cha Spika kwa kuzuia mjadala wa wabunge kutishiwa maisha. Katika …

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja
Si rahisi kufikiria maisha ya ndoa ya Maria na Consolata kwa jinsi walivyo, lakini pacha hawa walioungana wako wazi kuhusu matamanio yao ya maisha ya ndoa. Katika mazungumzo yao na gazeti hili, Maria na Consolata waliweka bayana mipango yao ya ndoa …

Mzee anayedaiwa kuchora nembo ya taifa afariki Muhimbili
Dar es Salaam. Msanii anayedaiwa kuchora nembo ya Adam na Hawa, iliyotumika kitaifa, Francis Maige (Ngosha) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Ngosha aliyepelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki iliyopita kwa ajili ya matibabu, amef…

Baba wa kambo adaiwa kumnyonga hadi kufa mtoto wa mkewe
MTOTO Agatha Raphael (2), aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha, katika kijiji cha Mao, wilayani Kalambo, mkoani Rukwa, amekutwa amekufa kwa kunyongwa na mwili wake kutupwa shambani Tukio la kunyongwa kwa mtoto huyo, linadaiwa kufanywa na baba …

Wanaoishi kindoa bila ndoa kukiona
WATU wanaoishi bila ndoa rasmi nchini Burundi, wametakiwa kuoana rasmi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu vinginevyo watakumbana na mkono wa sharia. Amri hiyo ya serikali imetolewa baada ya Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza, kuanzisha kampeni maalum…

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amng'oa Profesa Muhongo
Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuachia madaraka kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena. Amemtaka waziri huyo kujitathimini na bila kuchukua mu…

Mwanamke akata uume wa kiongozi wa dini
Mwanamke mmoja wa umri wa miaka 23 nchini India amekata uume ya wa kiongozi mmoja wa dini kwenye jimbo lililo kusini mwa nchi la Kerala, akidai kuwa alimbaka kwa miaka kadha. Polisi wanasema kuwa kiongozi huyo wa dini kwa jina Gangeshananda Theertha…

Habari ya Mgahawa Kuuza nyama ya binadamu
Wafanyikazi katika mgahawa wa Karri Twist katika eneo la New Cross nchini Uingereza wamehangaishwa kwa kupigiwa simu kutoka kwa wateja wanaosema ''Kwa nini hamujafunga''?. Mgahawa huo wa chakula cha jioni ni mwathiriwa wa habari za mzaha zilizodai k…

Aliyejaribu kumbusu nyoka aumwa usoni
Mwanamume mmoja katika jimbo la Florida nchini Marekani ambaye alijaribu kumbusu nyoka na badala yake nyoka huyo akamuuma, anaendelea kupata matibabu hospitalini. Nyoka huyo alipatwa na Charles Goff, mkaazi wa kaunti ya Putnam kaskazini mwa jimbo la…

Njemba Yamkata Kiganja Mpenzi wake Mwanza
POLISI mkoani Mwanza inamshikilia mtu mmoja nayejulikana kwa jina la Mkama Mgengele (36), mkazi wa kisiwa cha Ghana katika Kijiji cha Kamasi Kata Ilangala wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kwa tuhuma za kumfanyia ukatili mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wa…

OCD wa Polisi auawa kikatili
MKUU wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Uvinza mkoani Kigoma, Amedeusi Malenge, ameuawa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake Kinyerezi, jijini Dar es Salaam. Mkuu huyo wa polisi, imeelezwa, alikuwa likizo jijini akitokea Kigoma na alipatwa na umauti s…

Amnyonga mtoto wake siku tatu baada ya kujifungua
POLISI mkoani Kagera linamshikilia binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Latifa Vedasto (18) mkazi wa mtaa wa Ntungamano kata ya Buhembe Manispaa ya Bukoba kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaa kwa kumnyonga. Tukio hilo ambalo limewashtua wakaz…

Hali ilivyokuwa wakati Mti wa maajabu ulipokuwa unakatwa
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA AJIRA MPYA ZIMETANGWAZWA, BOFYA HAPA …

Maajabu ya Mti unaozungumza Mwanza
Mti wa ajaba wa Mwembe, Dozer D8k limeshindwa kuung’oa hapo ulipo, chain saw imeshindwa kuukata, shoka limeshindwa kuuwangusha. Inasemekama hata Nyanza Road Works imebidi wauwache kama ulivyo, maana ukiukata unalalamika kuwa unatoa damu “sisi ni…

Mwanamke ajioa baada ya kukosa mchumba
Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mchumba kwa muda mrefu. May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan ameambia BBC kwamba anaugua ugonjwa huo lakini hajakubali sababu hiyo kuhujumu ndoto yake ya k…

Watu 20 wafariki baada ya basi kuanguka kutoka juu ya mwamba
Takriban watu 20 wamefariki papo hapo baada ya basi moja la watalii kuanguka kutoka juu ya mwamba karibu na eneo la kujivinjari lililopo Kusini mwa Uturuki. Watu wengine 11 walijeruhiwa wakati dereva alivyopoteza mwelekeo wa basi hilo dogo na kugong…

Mwanafunzi Akamatwa na Bastola, Risasi 13
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, Lazaro Mbise (23) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kukutwa na bastola pamoja na risasi 13 ambayo alimwibia baba yake. Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema…
