Takriban watu 20 wamefariki papo hapo baada ya basi moja la watalii kuanguka kutoka juu ya mwamba karibu na eneo la kujivinjari lililopo Kusini mwa Uturuki. Watu wengine 11 walijeruhiwa wakati dereva alivyopoteza mwelekeo wa basi hilo dogo na kugong…
ARUSHA: Watano Wafariki Dunia Baada ya Nyumba Kuangukiwa na Mti
ARUSHA: Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na mti katika eno la Sokoni Two, Kijiji cha Kinyeresi, wilayani Arumeru, Arusha, usiku wa kuamkia leo. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi! MATUKI…

AJALI: Basi la Allys na Coaster Yagongana Shinyanga, 60 Wanusurika Vifo
Ajali mbaya imetokea asubuhi hii mkoa wa Shinyanga eneo la Kizumbi, Mbuyuni kwenye kona.Basi la la kampuni ya Allys kutoka Mwanza limegongana na Coaster inayofanya safari kati ya Isanzu na Kahama. Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo huku 26 kati ya…

Miili ya waliokufa ajalini Muheza yaanza kutambuliwa
Muheza. Miili ya abiria waliokufa katika ajali iliyotokea juzi saa 2.45 usiku baada ya basi aina ya Coaster walilokuwa wamepanda kuligonga lori wameanza kutambuliwa kufuatia ndugu zao kujitokeza katika hospitali ya teule wilayani hapa. Basi aina y…

BREAKING NEWS: Wanafunzi zaidi ya 20 wafariki katika ajali ya basi Karatu
Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani karatu leo asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, basi hilo aina ya Mitsubish Rosa lilikuwa limewabeba wanafunzi likitokea Aru…
