Dodoma. Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi. Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kuelez…
BREAKING NEWS: Rais Magufuli amng'oa Profesa Muhongo
Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuachia madaraka kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena. Amemtaka waziri huyo kujitathimini na bila kuchukua mu…

Hili hapa Sakata la Bashite Kusulubiwa na Vyeti Feki Kisheria.
Wakili Tundu Lissu na wenzake wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wamelikomalia vilivyo sakata maarufu la Bashite linalohusiana na tuhuma za kughushi vyeti vya kielimu linalomkabili mmoja wa wakuu wa mikoa kwa kulifikisha kortini ili lipatiwe u…

Hii hapa Orodha yote ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi
Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani. Majina yamegawanyika katika Orodha mbili kama ifuatavyo hapa chini; 1.Majina Orodha ya kwanza 2.Majina Orodha ya Pili TANGAZO LA AJIRA MPYA BO…

Magufuli ataja jina la kwanza la mtumishi mwenye cheti feki
Dodoma. Rais John Magufuli amekabidhiwa majina ya watumishi wenye vyeti feki na kutaja jina la kwanza la mtu aliyetajwa kwenye ripoti hiyo. Alimtaja mtu huyo kuwa ni Abadallah Polea, ingawa hakueleza ni wa wapi na aliajiriwa katika sekta ipi ya umma…

Rais Magufuli Awatimua Kazi Watumishi 9,932 Wenye Vyeti Feki
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 28, 2017 amepokea rasmi taarifa ya Uhakiki wa Watumishi wa Umma nchini wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Akikabidhi taarifa hiyo…

Hii ndiyo kauli ya Wema Sepetu Baada ya Nape Nnauye kutenguliwa Uwaziri
MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu, ‘Madam’, ambaye hivi karibuni alihamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameweka ujumbe kwenye mitandao ya kijamii akionesha kuzipokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za mabadiliko madogo katika baraza la…

Nape naye Afunguka Baada ya kutenguliwa Uwaziri
Nape Nnauye ambaye ni Mbunge wa jimbo la Mchinga amesema hayo kupitia mtandao wake wa twitter "Ndugu zangu naomba tutulie! leo mchana nitakutana na Wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwasasa naomba tutulie" Nape Nnauye R…

Mbunge na Dereva wake watupwa Jela Miezi sita
Mbunge wa Kirombero Peter Lijualikali Morogoro. Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali na Dereva wake, John Kibasa wamehukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini kwa kosa la kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi mwaka 2015. H…

Wadaiwa wajinyonga kutokana na msongo wa mawazo
Tabora. Wanawake wawili wamefariki dunia kwa kujinyonga katika matukio mawili yaliyotokea mikoa ya Geita na Tabora yanayohusishwa na msongo wa mawazo. Wakazi hao ni Mwajuma Hamad, Mkazi wa Miyogoni, Manispaa ya Tabora, ambaye aliji…

Ajikuta Kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli
MTUNZA bustani Maganga Masele (25) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli na Makamu wake Samia Suluhu Hassan. Maganga alifikishw…

Serikali yashtukia ubia na shule binafsi.
WAMILIKI wa shule binafsi sasa wameomba kuingia ubia na Serikali ili wapewe ruzuku kuwezesha shule zao kudahili wanafunzi wa kidato cha kwanza, kwa maelezo kuwa shule hizo zitasaidia kuondokana na kero ya baadhi ya wanafunzi wanaofaulu kukosa naf…

Gari Lililokuwa na Bosi wa CCM pamoja na Waandishi Laparamia mti
Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi, Damas Nyanda WAANDISHI wa habari, viongozi wa Chama cha Mapinduzi(CCM) akiwemo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Katavi wamenusurika kifo, baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kuacha njia kisha kuparamia mti msituni. M…

Polisi wasambaratisha wafuasi wa Chadema
JESHI la polisi wilayani Arumeru Mkoani Arusha, jana asubuhi lilisambaratisha kikundi cha watu waliokuwa wakifanya maandalizi ya mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya Matevesi wilayani humo. MATUKIO…

Mhasibu kizimbani kwa kumtusi Rais Magufuli
MHASIBU wa shule ya sekondari ya Mtakatifu Joseph, Elizabeth Asenga (40), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kumkashifu Rais John Magufuli kwenye mtandao wa WhatsApp. Elizabeth alifikishwa ma…

Magufuli amaliza ubishi nani Rais halali Zanzibar
ZIARA ya Rais John Magufuli visiwani Pemba imemaliza ubishi wa kisiasa na maneno ya kejeli kutoka kwa wafuasi wa Chama cha Wananchi (Cuf) dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani humu. Wanachama hao walilazimika kuondoka katika uwanja wa Gomban…

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi… Msigwa Ahutubia Iringa
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na polisi muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Ikungi, Singida. Wakati Lissu akiwa mikononi mwa polisi, Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa jana …

Rais Magufuli ateua maDC 139 na kupangua maRC
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Bi. Zainab R. Telack anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa…
