Kwa kawaida kama wewe sio mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kuto fanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria hasa kama upo katika active range of age! madhara yapo ya Hasi na Chanya.
Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia
zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo
mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uke
na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)
inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme
kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini
maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili
(cooling effect).
Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana
madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo
njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis
zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo
anavyo mwilini and, it's brain iniciated.
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya
madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira
za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea
sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea
story za mapenzi,
Kutokwa
damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda
kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa
na kichwa,
Kukakamaa
mgongo (wanaume),
Kuingiliwa
kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza
umakini ktk kazi (efficiency),
Siku
ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza
ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.