Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Fatuma anayeishi Dar maeneo ya Kijitonyama ameeleza kuwa alikuwa akiteseka sana na mapenzi. Fatuma alieleza kuwa mateso hayo ya mapenzi yalianza mara tu mpenzi wake alipoanza kumsaliti na kutoka na mwanamke mwengine wa Tabata .

Fatuma ameeleza kuwa yeye na mpenzi wake huyo walikuwa wanapendana sana kiasi cha kufikia hatua kutambulishana hadi kwa wazazi. lakini mapenzi yao hayo yalibadilika ghafla na kuwa kama moto makali wa jehanamu baada ya kutokea mwanamke mwengine aliyefahamika kwa jina la Rukia kutokea Tabata na kunyakua penzi hilo.

Fatuma anaendelea kueleza kuwa alijikuta akipoteza muelekeo wa maisha yake na kukaribia kuchanganyikiwa pale alipopata taarifa kuwa mpenzi wake huyo alikuwa anampango wa kumuoa Rukia. Hapa anaeleza  "Niliumia sana kwasababu mpenzi wangu niliyekuwa nampenda sa kunitamkia wazi kuwa hanitaki tena na amekwisha kuanzisha uhusiano na mwanamke mwengine. Nilipouliza sababu hakutaka kuniweka wazi"

Fatuma anasema kuwa baada ya kuona mambo yamekuwa maji ya shingo alimueleza rafiki yake wa karibu huku akionekana kukata tamaa ya kuendelea na mpenzi wake huyo ambaye ndiye aliyekuwa chaguo lake. Rafiki yake ambaye hakutaka kumtaja jina alimtuliza na kumweleza kuwa tatizo lake halikuwa kubwa kiasi cha kumpotezea amani ya moyo wake. 

Rafiki yake huyo alimpatia namba hii ya simu 0652 692911 na kumwambia awasiliane na mtu huyo kisha amueleze tatizo lake. Fatuma anasema alichukua namba hizo na kuzipiga huku akihisi rafiki yake huyo alikuwa anamletea masihara kwenye jambo la msingi. Fatuma anasema kuwa alipopiga simu na kumueleza mtu huyo tatizo lake, alisema kuwa mtu huyo aliahidi kumsaidia kwa kutumia nguvu za majini.

fatuma anaendelea kueleza kuwa baada ya siku tatu tangu alipozungumza na mtu huyo, mpenzi wake alirejea tena huku akiomba msamaha na kutaka waendeleze penzi lao. Fatuma anasema kuwa baada ya kukubali kurudiana tu na mwanaume huyo alishangaa kuona mikakati ya kufunga ndoa ikifanyika, na baada ya mwezi mmoja walifunga ndoa na mwanaume huyo ambaye wanaishi kwa amani hadi leo hii.
 
Top