Friends wa Jessica Kikumbi kama ambavyo anatumia jina hilo kwenye akaunti yake ya Faceboo wameanza kupatwa na mashaka juu ya akaunti hiyo baada ya kutupia picha zilizopoteza kabisa hadhi ya ubinadamu na kuto tofautiana na mnyama.
Wadau hao wa facebook wanaotembelea page yake hiyo wamejikuta wakifunguka na kuhoji juu ya suala la mmiliki wa akaunti hiyo. Wanasema kuwa kwa hali ya kawaida ni jambo lisilowezekana kabisa kwa msichana mrembo kama Jessica kuweka picha za utupu kwenye akaunti yake.
Tukimnukuu mmoja wa wadau anapost hivi " Kwakwel sijui nisemeje nahis kuna mtu anacheza na hii acc na km ni wewe mwenyewe jarib kubadilika mbona mzur tu waweza kijiuza ukiwa kwenye stara hiv unatudhalilisha wanawake wenzio kumbuka mwanamke nwenye kupendwa ni yule anaejistir na sio kujiadhir.
Mtu mwengine akaongezea kwa kuandika hivi "haiwezekan akawa mwenyewe ajifanyie hivi lazma kuna mtu anamchezea" wadau wengine waliofuata wameendelea kutoa madukuduku yao huku wakimtuhumu mmiliki wa page hiyo kuwa si Jessica Kikumbi bali kuna mtu nyuma ya pazia.
Hapa chini ni baadhi ya picha zake akiwa na mavazi yake.
Hapa chini ni baadhi ya picha zake akiwa na mavazi yake.