SIMULIZI YA KUSISIMUA Sehemu ya Saba
Ilipoishia....
Siku iliyofuata ilikuwa ni Jumamosi, Ayubu alijikuta amelala palepale sebleni. Alikwenda chumbani kwa lengo la kumuamsha Suzy akalale chumbani kwake, lakini alikutana naye mlangoni. Suzy alimtazama Ayubu kwa jicho la hasira kiasi cha kumfanya Ayubu kupatwa na woga.
“Habari za asubuhi dada Suzy”
“Mbaya” Suzy alijibu kwa mkato
Endelea….

“Vipi unaumwa?”
“Hivi Ayubu unadhani mimi sina moyo?”
“Kwanini unasema hivyo?”
“Hivi utanitesa hadi lini?”
“Bado sijakuelewa dada Suzy”
“Sikia Ayubu. Kumbuka kuwa mimi na wewe sio ndugu”
“Hapana dada Suzy usiseme hivyo, wewe ni ndugu yangu”
“Mmm! Wewe unaitwa nani?”
“Ayubu”
“Ayubu nani?”
“Ayubu Nyiruka”
“Na mimi?”
“Suzy”
“Suzy nani?”
“Manyama”
“Sasa kama wewe ni Ayubu Nyiruka na mimi ni Suzy Manyama, huo undugu unakujaje?” alisema Suzy kwa uchungu wa kumkosa Ayubu. Maneno yale yalimchoma sana Ayubu, alihisi kama vile Suzy alikuwa akimnyanyasa na nyumbani kwao. Alimtazama usoni kwa sekunde kadhaa.
“Una maanisha nini Suzy?”
“Unajua nataka nini Ayubu. Lakini naona undugu ndio umekuwa kikwazo”
“Suzy, mbona mimi sijui unachokitaka”
“Ok. Ni hivi nahitaji penzi lako”
“What! Siwezi Suzy siwezi” alisema Ayubu na kuingia chumbani kwake. Alivua suruali na kubaki na boksa kisha akajitupa kitandani. Maneno ya Suzy yalikuwa yamemuingia vya kutosha, hasa alipoambiwa kuwa yeye hakuwa mtoto wa ndani mle. Machozi yalianza kumtiririka na kujikuta akikumbuka matatizo mbali mbali aliyo kumbana nayo tangu alipofika jijini DareSalaam.
Wakati Ayubu alipokuwa amezama kwenye dimbwi la mawazo, alimsikia Suzy akipiga kelele za kuomba msaada. Alikurupuka na kuingia chumbani kwake pasipo kutambua kuwa alikuwa amevaa boksa tu. Alimkuta Suzy akigalagala chini huku ameshikilia maeneo ya tumboni.
“Vipi dada Suzy kuna nini?”
            “Tumbo….nisaidie nakufa”
            “Tumbo lina nini?”
            “Naomba niminye hapa….aaaah! mama nakufa”
            “Pole dada Suzy” alisema Ayubu kwa huruma, alimhurumia sana dada yake yule. Alifanya kama vile alivyotaka Suzy afanye. Huduma ile aliyokuwa akiitoa ilionekana kuleta mafanikio kwani makelele ya kuomba msaada kwa kiasi fulani yalipungua.
            “Oooh!...Ayubu…..nisaidie ndugu. Nichue hapo hapo” wakati Ayubu akimchua Suzy alimvuta chini na kukumbatiwa kwa nguvu.
            “Fanya hivi Ayubu labda nitapona” alisema Suzy huku akimbana Ayubu.
Kifua cha Ayubu ambacho hakikuwa na nguo kiligusa chuchu za Suzy na kuleta hali fulani ya msisimko kwa wote wawili. Mapaja yao nayo vile vile yaligusana na kuleta ladha fulani ambayo haikuwa na mfano wake. Laahaula! Siku zote “ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu” Midomo ya Suzy na ya Ayubu ilikutana na kunasa kama sumaku. Ndani ya dakika kama tano walikuwa sale sale maua, kila mmoja alikuwa akionesha ufundi wake.
             Ayubu aliona kulikuwa na ulazima wa kutunza heshima yake ya mwanaume rijali. Uvumilivu ulikuwa umekwisha mshinda. Alivitumia ipasavyo viungo vyake alivyopewa na muumba kama vile vidole vya miguu na mikono, ulimi, na mwanya uliokuwa katikati ya meno yake ya juu. Alivitumia viungo hivyo katika meneo mbalimbali ya mwili wa Suzy. Alisahau kabisa kama alikuwa ameapa kuto kuruhusu hisia zake kufanya kitu kama kile.
            Suzy hakuweza kuamini kama Ayubu angekuwa mtundu kiasi kile. Hakuelewa ni kwanini muda wote huwo alikuwa akijifanya haelewi. Miguno ya mahaba iliyoambatana na sauti za chumbani ilikuwa imekipamba chumba cha Suzy. Pamoja na kupagawiswa lakini Suzy naye hakuwa nyuma kutoa ushirikiano. Alipita kila kona aliyoifahamu kuwa ni sehemu hatari kwenye mwili wa mwanaume. Ayubu naye akajikuta akitoa miguno ya mahaba kutokana na raha alizokuwa akipewa na Suzy.
            “Ooomh!..hapo…hapo..aaah! Suzy mpenzi tara..taratibu” Ayubu alilalamika
            “Yeaaah!!...usi…usi..Oooommn…unaweza Ayubu” Suzy naye alilalama kivyake.
            “Suzy sikujua kama…Ooomnh!..yap..ammnmny..Uph!”
            “Ayubu wewe ni mtundu zai…di….Nipe haki yang…Oomnh!”
            “Usiwe na wasi Darling. Nakupa”
            “Mbona unachelewa sasa Ayubu mpenzi….nipe mwenzio” Suzy alilalamika na kuonekana kuwa na hali mbaya zaidi kuliko mwenzake. Ayubu alionesha maufundi yote ya kitanga. Hakuona sababu ya kupoteza uasili wake hata dakika moja. Hasa baada ya kuyaona maungo ya mtoto mrembo aliyeumbwa akaumbika. Inaonekeana siku alipokuwa akifinyangwa hakuwa mvivu kugeuka kila alipotakiwa kufanya hivyo.
            Baada ya dakika takribani arobaini na tano walizozitumia kuandaa mazingira ya mechi kabambe kati ya Ayubu na Suzy mchezo ulianza rasmi. Ilikuwa ni mechi kali sana, kila upande wachezaji walionekana kujituma vya kutosha. Ndani ya nusu saa Suzy alikuwa amekwisha kufunga magoli matatu wakati timu ya Ayubu ilikuwa haijatupia hata goli moja. Hadi kipindi cha mapumziko Suzy alikuwa amekwisha pachika magoli matano kwa moja lililofungwa na Ayubu kwenye dakika ya mwisho.
            Kila mmoja alikuwa hoi, walikuwa wamelala mithili ya wahanga wa njaa ama wa mabomu ya sumu. Ayubu alikuwa wa kwanza kujitambua. Aliinua shingo yake na kumtazama Suzy ambaye macho yake yalikuwa juu akitafakari mchezo ulivyokuwa. Macho yao yaligongana na kusababisha zao la mti wa tabasamu kumea baina yao.
            “Thankyou” alisema Suzy kwa sauti ya chumbani
            “Vipi?”
            “Dah! We mkali. Sijui kwanini ulikuwa unanibania”
            “Hata wewe ni mjuzi Suzy. Unaweza kwenda na biti” alisema Ayubu na kufanya wote wawili kuangua kicheko. Kicheko chao walikimalizia kwa kupigana busu la mdomoni.
            “lakini Suzy baba akijua itakuwaje”
            “Mnh! Atatuua”
            “Ataniua mimi. sio wewe”
            “Hawezi kujua. Hii itabakia kuwa siri yetu mimi na wewe”
            “Kweli Suzy?”
            “Sure!”
            “lakini tusirudie siku nyingine”
            “Kwanini? Wewe ushakuwa wangu. Muda wowote tunaweza”
            “Mimi siwezi”
            “Utaweza tu” alisema Suzy kisha wote waliangua kicheko. Kwakuwa midomo yao ilikuwa karibu, sumaku ya ajabu ilitokea na kujikuta kila mmoja akilamba aiskrim. Kulikuwepo na dalili zote za kuingia nusu ya pili ya mechi yao waliyokuwa wakiicheza. Maandalizi yalikwisha anza upya. Mara shughuli ikawa nzito pale waliposikia vishindo vya miguu ndani ya nyumba yao. Wote walishituka na kuachiliana.
            “Nani huyo Suzy” Ayubu alihoji kwa sauti ya kunong’ona
            “Sijui”
            “Kwani ulifungua malango?”
            “Ndio, mlango upo wazi. Anaweza kuwa mama au baba”
            “Mungu wangu nimekwisha” alisema Ayubu huku akitetemeka. Vishindo vya mtu aliyekuwa akitembea vilikuwa vikielekea kule chumbani kwa Suzy.
            “Ingia uvunguni”
            “Ngoja niingie kabatini”
            “No. anaweza akafungua kabati” alisema Suzy na Ayubu alitii. Akiwa kama alivyozaliwa alijichomeka chini ya uvungu. Sauti ya mama Suzy ilisikika ikiita. Wakati Suzy akujiandaa kwenda kufungua malango,mama Suzy alikuwa amekwisha fungua na kuingia.
            “Inamaana bado mmelala?” alisema mama Suzy huku akiingia chumbani mwa Suzy pasipo kubisha hodi. Suzy alikuwa amejisitiri kwa shuka mwilini.
            “shikamoo mama” Suzy alisalimia huku akijifanya alikuwa kwenye usingizi mzito.
            “Hadi saa nne bado umelala mtotowa kike”
            “Naomba nisamehe mama, nahisi kichwa kinaniuma”
            “Kaka yako Ayubu yuko wapi?” mama Suzy alihoji na kufanya Ayubu kule chini ya uvungu moyo wake kumuenda mbio. Moyo wa Suzy naye ulimpasuka na kujikuta akiropoka bila kujitambua.
            “Kaka Ayubu aliniaga anakwenda kwa rafiki yake Mozes” Suzy aliongopa.
Kumbe Ayubu alipoingia chini ya uvungu alikuwa ameacha boksa yake sakafuni. Mama Suzy aliiona na kupatwa na mshangao.
            “Suzy”
            “Abee”
            “Umeanza lini hii tabia?”
            “Tabia gani mama?” Suzy alihoji kwa mshituko. Ayubu naye akahisi kuwa mama Suzy alikuwa amekwisha gundua mchezo mzima. Mama Suzy alisogea zaidi ndani na kusimama pembeni ya ile boksa ya Ayubu.
            “Hii nguo ni ya nani?”
            “Mnh!...ma..ni..Mnh!...” Suzy alipata kigugumizi cha kujibu.
            “Pumbavu. Unanifanya mimi mjinga sio?” Mama Suzy alifoka.
Kule chini ya uvungu hali ya Ayubu ilizidi kuwa mbaya. Alianza kujuta uamuzi wake aliouchukua wa kumkubalia Suzy. Mapigo yake ya moyo yalikuwa yakimuenda mbio huku kijasho chembamba kikimtoka. Alibana mdomo wake ili kuzuia pumzi zisitoke kwa sauti. 



Ngugu msomaji Wetu wa simulizi hii ya kusisimua, Tupo tayari kukutumia kila toleo jipya la muendelezo wake. kitu cha kufanya  LIKE  Ukurasa wetu wa Facebook. BOFYA HAPA>> 
 
Top