Ni muhimu kuwa na vifaa vya huduma
ya kwanza nyumbani kwa ajili ya kumhudumia mtu aliyeumia / kuugua ghafla kabla
ya kumpeleka hospitali.
Pia ni vyema kila mzazi na mlezi akawa anajua angalau
kidogo kuhusu huduma ya kwanza hasa kwa watoto.
Vitu hivyo muhimu ni pamoja na:
- Bandeji ndogo ndogo
- Plasters
- Pamba ya kutosha
- Bandeji kubwa ya kumfunga mtu aliyeteguka
- Gauze bandage ( Gozi)
- Medical gloves
- Mkasi mdogo
- Pini
- Dawa ya kuoshea mahali palipoumia (Dettol ya maji, Eusol)
- Dawa za kupunguza maumivu ( Panadol, Dicloper etc)
- Mafuta ya kupaka sehemu ndogo iliyoungua
- Dawa ya kukatisha kuharisha
- Thermometer
- Namba za simu za dharura ( daktari, fire, polisi, mchungaji, ofisini n.
SOURCE-wordpress.com