Tutakuonyesha namna unavyoweza kutumia akaunti mbili kwenye simu yako ya android.
kwanza hakikisha unakua na vitu vifuatavyo,,,,,,1.laini mbili za simu kisha fuata hatua hizi.
1.Fungua akaunti yako ya whatsapp ya kawida[yaani uliyonayo unayoitumia]
2.kisha bonyeza kitufe cha option kisha chagua"setting"kisha nenda kwenye chat setting,,bonyeza backup conversation.
3.Baada ya backup kisha ondoka kwenye application yako ya whatsapp na uende kwenye application yako ya "file manager"bonyeza hapo kisha shuka mpaka kwenye folder ya 'whatsapp" badili jina la folder ya whatsapp na andika"OG whatsapp".
4.Baada ya hapo 'unistall" hiyo whatsapp application yako.[yaani itoe kabisa kwenye simu yako]
5.Nenda kwenye mtandao kisha download programu iitwayo "OGwhatsapp" kisha iweke kwenye simu yako[yaani install].
6.Baada ya hapo ifungue hiyo whatsapp kutoka kwenye simu yako kisha activate kwa kutumia namba ya simu uliyokua unatumia kwenye whatsapp ya mwanzo.
7.Ukishamaliza kuactivate nenda tena kwenye google store kisha download whatsapp ya kawaida kwenye simu yako hiyohiyo,kisha install[iweke kwenye simu] baada ya hapo ifungue na activate kwa kutumia namba nyingine ya simu na hapo utakua tayari umemaliza na unatumia akaunti mabili za whatsaapp kwenye simu moja.