Jeshi la Polisi limekwishawashikilia watuhumiwa wa upotevu wa makontena katika bandari ya Dar es Salaam waliotajwa na waziri mkuu pamoja na wengine ambao wamebainika kufuatia uchunguzi unaoendelea.
Akitangaza baadhi ya majina mkurugenzii waupelelezi wamkosa ya jinai Diwani Athumani amesema baadhi ya majina hayatawekwa hadharani hadi upelelezi ukamilike na kwamba kazi hiyo itafanyika kwa kasi ili kupeleka watuhumia wote mahakamani.

 
Top