Mwanamke ajioa baada ya kukosa mchumba
Mwanamke ajioa baada ya kukosa mchumba

Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mchumba kwa muda mrefu. May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan ameambia BBC kwamba anaugua ugonjwa huo lakini hajakubali sababu hiyo kuhujumu ndoto yake ya k…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Kenya yashindwa kutimiza masharti ya riadha
Kenya yashindwa kutimiza masharti ya riadha

 Kenya imeshindwa kuafikia mda wa masharti yaliowekwa kwa taifa hilo kudhihirishia duniani kwamba inakabiliana na udanganyifu katika riadha. Kenya haikuweza kutoa thibitisho kwa shirika la kukabiliana na utumiaji wa dawa za kusisimua misuli duniani …

SOMA ZAIDI HAPA>>

SOCCER: Jose Morinho Afutwa Kazi Chelsea
SOCCER: Jose Morinho Afutwa Kazi Chelsea

Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya. The Blues walishinda Ligi ya Premia msimu uliopita lakini msimu huu mambo yamekuwa kinyume, na wamo alama moja tu juu ya eneo la kushush…

SOMA ZAIDI HAPA>>

SOCCER: Toure Ashinda Tuzo Ya Mwanasoka Bora Africa
SOCCER: Toure Ashinda Tuzo Ya Mwanasoka Bora Africa

Kiungo huyo wa kati wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 32 anakuwa wa tatu, baada ya Wanigeria Nwankwo Kanu na Jay-Jay Okocha, kushinda tuzo hiyo mara mbili. Mashabiki walimpigia Toure, anayechezea Manchester City, kura nyingi kushinda Yacine Brahim…

SOMA ZAIDI HAPA>>

SOCCER: Mchezaji Wa Timu Ya Taifa Honduras Auawa Kwa Risasi
SOCCER: Mchezaji Wa Timu Ya Taifa Honduras Auawa Kwa Risasi

Mchezaji wa timu ya taifa Honduras Arnold Peralta amepigwa risasi akiwa likizoni mji wake wa kuzaliwa wa La Ceiba. Aliuawa katika maegesho ya magari katika mji huo, ambao unapatikana katika pwani ya taifa hilo. Kiungo huyo wa kati wa umri wa miaka 2…

SOMA ZAIDI HAPA>>

NEWS: LIGI KUU ENGLAND KUENDELEA
NEWS: LIGI KUU ENGLAND KUENDELEA

Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaaa, ambapo jumamosi Norwich cty itaikaribisha Everton, Crystal Palace watakuwa wenyeji wa Southampton, Man City watawaalika Swansea city , Sunderland watawakaribisha …

SOMA ZAIDI HAPA>>

Petr Cech Asajiliwa Arsenal Kwa Pauni 11.   HABARI KAMILI BOFYA HAPA>>
Petr Cech Asajiliwa Arsenal Kwa Pauni 11. HABARI KAMILI BOFYA HAPA>>

Petr Cech akionesha jezi ya Arsenal baada ya uhamisho wa Pauni na Mshahara wake unatajwa kuwa ni Pauni 100,000 kwa Wiki.  Akiwa Katika Mapozi   Akizungumza na Waandishi wa habari  KUPITIA HABARI ZAIDI ZA KISOKA BOFYA HAPA>> …

SOMA ZAIDI HAPA>>

Kisa deni la Tambwe Mavungo azuiwa kuja Dar
Kisa deni la Tambwe Mavungo azuiwa kuja Dar

Wakati wapenzi na mashabiki wa Simba wakiwa wamekaa tayari kumpokea mshambuliaji wao mpya Mrundi, Laudit Mavugo, imevuja kuwa deni la milioni 20 wanalodaiwa Wekundu hao wa Msimbazi, linaweza kufuta ndoto zao za kumpata nyota huyo. Normal 0 …

SOMA ZAIDI HAPA>>

Hizi ndizo Rekodi 5 za Kushitua za Kocha Mpya Simba.  HABARI KAMILI BOFYA HAPA>>
Hizi ndizo Rekodi 5 za Kushitua za Kocha Mpya Simba. HABARI KAMILI BOFYA HAPA>>

Kocha mpya wa Simba, Dylan Kerr, anatarajiwa kutua nchini wikiendi hii akiwa anaonekana kuwa kocha mwenye rekodi kadhaa za ajabu kwenye soka. Kocha huyo anatua nchini kuchukua mikoba ya Goran Kopunovic, ambaye aliachana na timu hiyo ya Msimbazi baad…

SOMA ZAIDI HAPA>>
 
1
 
Top