Kufuatia Kampuni ya KIMBUDZI INVESTIMENT' kutoa matangazo yake kwenye vyombo mbalimbali vya habari yakiwemo magazeti na kwenye Runinga, kutoa ajira kwa vijana walio na elimu na wasio na elimu nchini. Wamejitokeza vijana wengi kujiunga na ajira hizo.
Tulipozungumza na msemaji wa kampuni hiyo alizungumza hivi;
Nikweli kabisa tumeanzisha mpango huwo, na lengo letu ni kufuta ama kupunguza tatizo la ajira kwa vijana nchini.. Vile vile tumeanzisha kampuni hii ili kuwainua na kuboresha maisha ya vijana wanaofanya kazi na kulipwa ujira mdogo, hususani wafanya kazi wa ndani.
Ni vijana wengi sana ambao tayari wamekwisha kunufaika kutokana na mpango huu. Na hata hivyo bado tunaendelea nao na nafasi za ajira zipo za kutosha.
Nafasi zilizobakia ni za Kazi za ndani. Hivyo tunahitaji Wasichana Waliomaliza shule ya Msingi na Sekondari Umri miaka 18 - 40, kufanya kazi ndani na kuishi hapo kwa mwajiri. Mshahara ni shilingi 50,000/- kwa mwezi.
Vitu ambavyo vinahitajika kwa muombaji ni barua kutoka serikali za mtaa na picha mbili za passport Size.
Tunapokea watu wote hata kutoka mikoani.
Tupo Dar Sinza kwa Remmy kituoni.
TUANDIKIE BARUA KUPITIA: SLP 1337 DAR ES SALAAM
AU
TUPIGIE SIMU KWA: 0713 373746,
0787 373746,
0763 373746.