Baada
ya kuwepo kwa mivutano ya hapa na pale hasa viongozi wa dini mbalimbali
kuzungumzia suala la mahakama ya Kadhi, sasa waislamu wameamua kuvunja ukimya
na kulizungumzia suala hilo.
Hili swala la Mahkama ya
Kadhi ukweli ni swala ambalo linasikitisha sana Serikali ya Jamuhuri ya
Muungano inapaswa KuKuwatendea haki waislamu watanzania bara waache kuwasikiliza wakrisito
propaganda zao
Hata sisi waislam kama
hatupo pamoja kama wakristo wanavotusemea ila wakati umefika kwa sisi kuwa na
mahkama ya kadhi kwani haki ya muislamu huoatikana katika sheria za kiislam
Na hili niwaombe wakristo hawapaswi
kuwa na hofu juu ya suala hili kwani wao wana dini yao na sisi tunadini yetu
halkadhalika suala la mahkama ya kadhi litaamgusa kila muislam aliyeamini
Ondoweni hofu
Dini ya haki mbele ya
Allwah ni Uislam. Na kwa maelezo ya dini yetu katika kitabu kisichoshaka ndani
yake kinasema kuwa itafika siku ‘Kisha Mtawaona watu wanarejea katika dini ya
uislamu makundi kwa makundi’
Na alichokiandika Mungu
Muumba katu hakigeuki sasa hata kuzuwia mahkama ya kadhi huo si ushindi kwenu
hili mlijuwe Uislam Utasimama tu Cha msingi Ndg Zangu wa kiislam Tuimarishe
Madrasa na kuziwezesha kihuduma na si mabanda tuwawezeshe walimu wa madrasa
kuweza kuwahifadhisha wanafunzi pamoja na tafsiri ya Qur an na hadithi
Tuwache machafu tuzingatie
Lengo la Swala Tuzingatie Lengo Funga Lengo Zakah na tuzingatie lengo la Hijja
halkazalika lengo kuu la kuumbwa kwetu…
Mungu tujalie nusr l hatma
Amenn
CHANZO MZALENDO