Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa majina ya Vedasto Kilosa amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka katika wodi za hospitali ya Murganzwa wilayani Ngara mkoani Bukoba usiku wa kuamkia tarehe 14 April 2015.

Kwa mujibu wa Chanzo chetu kimeeleza kuwa Vedasto alipelekwa hospitalini hapo na ndugu zake baada ya kuugua ugonjwa wa kichaa ambao ulikuwa ukimripuka mara kwa mara tangu ulipomuanza mwaka jana mwezi Novemba.


  KWA MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA GUSA HAPA>>
 
Top