Askari polisi aliyefahamika kwa jina la Ramadhani ameripotiwa kupigwa mawe na na wananchi na kuumizwa vibaya huko mkoani Morogoro eneo la Mindu.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizi kimeeleza kuwa Afande Rama amepokea kichapo hicho baada ya kusababisha ajali ya Muendesha bodaboda ambaye walikuwa wakimfukuza.
  
kijana huyo alipata ajali kwa kuingia uvunguni mwa Roli wakati alipokuwa akiwakimbia askari hao.
    HABARI ZAIDI ZA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>
 
Top