• Ukiona Simu ya mpenzi wako imefungwa kwa password jua hapo kuna jambo

  • Ukiona hataki ushike simu yake hata mara moja, mwenzangu ujue hapo kuna namna.

  • Kila unapokutana naye simu yake imezimwa, elewa hayo ni majana. 

  • Kila unapompigia simu hapatikani, na husingizia kuwa simu ilikuwa imekwisha chaji pamoja na kwamba simu yake ina uwezo mkubwa wa kutunza chaji. Hapo wewe ulie tu.

  • Kila unapompigia simu hujifanya hakusikii na kuitika itika kwa kujifanya yupo sehemu yenye kelele. Jua kuna namna tu.

  • Kila mnapokuwa pamoja hupenda kukutuhumu kuwa unamsaliti au unamfanyia mambo ya ajabu. Uelewe hapo anahisi na wewe unamfanyia mambo ambayo yeye anakufanyia. Andika umeumia.

  • Kila ukiingia kwenye Inbox yake unakutana na Msg zako tu au hakuna kabisa msg. Elewa kabisa huwo ni mchepuko.

  • Ukiangalia kwenye Phonebook yake unakutana na majina ya ajabuajabu, mara 'Z' au 'R' au 2, 7,  Hapo uandike umeumia.

Angalizo.
    Sio kila mwenye tabia hizo basi ana mchepoko, bali wengi wenye kufanya mambo kama hayo wanamichepuko.




 
Top