KAZI IDARA YA UHAMIAJI
Kamishna mkuu wa idara ya uhamiaji anatangaza nafasi za kazi idara ya uhamiaji

Mkaguzi msaidizi uhamiaji nafasi 70

Koplo uhamiaji nafasi 100

Konstebo nafasi 100
Maombi yatumwe viambatanishi
Nakala za vyeti vya kuhitimu masomo
Nakala ya chete cha kumaliza elimu ya msingi
Nakala ya cheti cha kuzaliwa
picha 2 passport size
barua ya utambulisho toka serekari ya mtaa

TAHADHARI
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta na barua ziandikwe kwa mkono

MAOMBI YA MKAGUZI MSAIDIZI YATUMWE KWA 
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
SLP 9223

MAOMBI YA KOPLO NA KONSTEBO YATUMWE

KAMISHNA MKUU UHAMIAJI
SLP 512
DAR ES SALAAM

*Maombi yatumwe kabla ya tarehe 27/2/2015
 
Top