Jamni vitendo wanavyofanyia watu ambao si wazawa wa nchini Afrika Kusini ni vya kusikitisha sana. Yaani kama una ndugu yako ambaye anaishi huko bondeni sidhani kama unaweza kuishi kwa amani hapa nchini.
Matendo ambayo yamezoeleka nchini mwetu kufanyiwa vibaka ama majambazi na wale wananchi wenye hasira kali ndiyo ambayo wanafanyiwa wageni kutoka nchi mbalimbali huko Bondeni (Afrika Kusini).
Askari wakijaribu Kuokoa maisha ya Mgeni aliyechomwa moto akiwa hai
Hata hivyo serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa hakuna mtanzania mabye amefanyia vitendo hivyo vya kikatili.
MATUKIO ZAIDI BOFYA HAPA>>