Wanaume wengi tushawahi kujicua baada ya kubalehe, wengine wanaacha kujichua wakishapata wasichana au wakianza kuwa watu wazima. Lakini tupo wanaume wengine kujichua kwetu imekuwa kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya (mimi binafsi sijaacha hii tabia, hata leo nimejichua mara moja leo). 

Wengine wanazidisha kiwango cha kufanya kwa siku na kuacha hawawezi hata kama wanapenda kuacha. Na kadri wanavyozidi kujichua, ndio misuli ya mashine zao inazidi kulegea na ndio hapo sasa wanakuja kupata tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa kupeana raha na utamu.

OK, JINSI YA KUFANYA. Kama unajichua zaidi ya mara moja kwa siku au haiwezi kupita siku bila kujichua na unasumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema, basi ujue kujichua ndio tatizo lako na unatakiwa uache mara moja, kama hujui jinsi ya kuacha basi zifuate hatua zifatazo:-
 *Usikae peke yako kabisa ili kuepuka kupata hamu ya kujichua bila sababu. 
*Usikae karibu na vitu vitakavyokupa tamaa ya kujichua mfano, picha za ngono. 
*Tafuta kitu kingine cha kufanya kitakachokuchangamsha mfano, kucheza mpira n.k 
*Fanya mazoezi kwa kuwa yanasaidia kuondoa mawazo ya ngono na kujichua. *Punguza idadi ya kujichua kwa siku kidogo kidogo.

 
Top